Kwa mujibu wa shirika la habari la ABNA kwa kunukuu idara ya mahusiano ya umma ya Jeshi, nyambizi za Marekani saa chache zilizopita kwa kuzima rada zao katika Bahari ya Oman, zilinuia kukaribia Mlango wa Hormuzi, lakini mara baada ya kuwasha rada zao, ziligunduliwa na kupokea onyo kwa redio kutoka kwa Jeshi la Wanamaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu hatari za kukiuka usitishaji vita.
Mashujaa wa Jeshi baada ya nyambizi za Marekani kupuuza onyo hilo, katika onyo la pili, walisema waziwazi kuwa jaribio lolote la kuingia Mlango wa Hormuzi litachukuliwa kama ukiukaji wa usitishaji vita na litakabiliana na majibu ya vikosi vya wanamaji.
Katika hatua hii na kufuatia kupuuza kwa nyambizi za Marekani na Kizayuni onyo la kwanza, Jeshi la Wanamaji lilirusha risasi ya onyo kwa kutumia makombora ya Cruise, roketi na ndege zisizo na rubani za kivita karibu na meli za adui mkatili, na kuonya; dhima na matokeo ya hatari ya vitendo hivyo ni juu ya adui mnyanyasaji.
Your Comment